Nehemia 12:24 BHN

24 Viongozi wa Walawi: Hashabia, Sherebia, Yeshua mwana wa Kadmieli walisimama mkabala na ndugu zao; walipangwa kuimba nyimbo za kusifu na kushukuru, kufuatana na amri ya mfalme Daudi, mtu wa Mungu.

Kusoma sura kamili Nehemia 12

Mtazamo Nehemia 12:24 katika mazingira