Nehemia 12:7 BHN

7 Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hao walikuwa ni wakuu wa makuhani na ndugu zao wakati wa Yeshua.

Kusoma sura kamili Nehemia 12

Mtazamo Nehemia 12:7 katika mazingira