Nehemia 2:1 BHN

1 Katika mwezi wa Nisani, katika mwaka wa ishirini wa utawala wa mfalme Artashasta, wakati divai ilipokuwa mbele yake, nilichukua divai na kumpelekea mkononi mwake. Kamwe sikuwahi kuwa mwenye huzuni mbele yake.

Kusoma sura kamili Nehemia 2

Mtazamo Nehemia 2:1 katika mazingira