2 Mfalme Artashasta akaniuliza, “Je, mbona unaonekana kuwa mwenye huzuni, ingawa huonekani kuwa mgonjwa? Naona una huzuni sana moyoni mwako!” Ndipo nilipoogopa sana.
Kusoma sura kamili Nehemia 2
Mtazamo Nehemia 2:2 katika mazingira