Nehemia 2:3 BHN

3 Nikamjibu, “Ee mfalme, udumu milele! Kwa nini nisiwe mwenye huzuni wakati mji wa Yerusalemu yalimo makaburi ya babu zangu uko tupu na malango yake yameteketezwa kwa moto?”

Kusoma sura kamili Nehemia 2

Mtazamo Nehemia 2:3 katika mazingira