6 Mfalme akaniuliza (malkia akiwa karibu naye), “Utakuwa huko kwa muda gani na utarudi lini hapa?” Ombi langu akalikubali nami nikamjulisha wakati nitakaporudi.
Kusoma sura kamili Nehemia 2
Mtazamo Nehemia 2:6 katika mazingira