Nehemia 2:7 BHN

7 Nikamjibu, “Ee mfalme ikiwa unapendezwa nami, naomba nipewe barua ili nizipeleke kwa watawala wa mkoa wa magharibi ya mto Eufrate ili waniruhusu nipite hadi nchini Yuda.

Kusoma sura kamili Nehemia 2

Mtazamo Nehemia 2:7 katika mazingira