Nehemia 3:12 BHN

12 Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Shalumu, mwana wa Haloheshi, mtawala wa nusu nyingine ya wilaya ya Yerusalemu. Alisaidiana na binti zake katika ujenzi huo.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:12 katika mazingira