Nehemia 3:13 BHN

13 Lango la Bondeni lilijengwa upya na Hanuni pamoja na wakazi wa mji wa Zanoa. Wakayaweka malango mahali pake, wakatia bawaba na makomeo yake. Waliujenga upya ukuta ukiwa na urefu wa mita 400 hivi hadi Lango la Samadi.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:13 katika mazingira