Nehemia 3:14 BHN

14 Lango la Samadi lilijengwa upya na Malkiya, mwana wa Rekabu, mkuu wa wilaya ya Beth-hakeremu. Akaliweka lango mahali pake, akatia bawaba na makomeo yake.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:14 katika mazingira