Nehemia 3:19 BHN

19 Sehemu inayofuata inayoelekeana na ghala ya silaha kwenye pembe ya ukuta ilijengwa upya na Ezeri, mwana wa Yeshua, mkuu wa Mizpa.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:19 katika mazingira