Nehemia 3:20 BHN

20 Sehemu inayofuata tangu pembeni hadi kwenye mlango wa Eliashibu, kuhani mkuu, ilijengwa upya na Baruku, mwana wa Zabai.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:20 katika mazingira