Nehemia 3:29 BHN

29 Sadoki, mwana wa Imeri alijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yake. Sehemu inayofuata, ilijengwa upya na Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:29 katika mazingira