Nehemia 3:30 BHN

30 Sehemu inayofuata ikiwa ni sehemu yao ya pili ilijengwa upya na Hanania mwana wa Shelemia, akishirikiana na Hanuni, mwana wa sita wa Zalafu. Meshulamu, mwana wa Berekia, alijenga upya sehemu inayokabiliana na chumba chake.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:30 katika mazingira