Nehemia 3:7 BHN

7 Waliowafuata hao katika kazi hiyo ya kujenga upya walikuwa Melatia, Mgibeoni; Yadoni, Mmeronothi pamoja na watu wa mji wa Gibeoni na Mizpa waliokuwa chini ya uongozi wa mtawala wa mkoa wa magharibi ya mto Eufrate.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:7 katika mazingira