Nehemia 3:8 BHN

8 Sehemu inayofuata, ilijengwa upya na Uzieli, mwana wa Harkaya, mfua dhahabu. Sehemu inayofuata hadi Ukuta Mpana ilijengwa upya na Hanania, mtengenezaji wa marashi.

Kusoma sura kamili Nehemia 3

Mtazamo Nehemia 3:8 katika mazingira