Nehemia 4:18 BHN

18 Kila mwashi alikuwa na panga lake limefungwa kiunoni mwake na huku anaendelea kujenga. Na mtu wa kupiga tarumbeta alikuwa karibu nami.

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:18 katika mazingira