Nehemia 4:19 BHN

19 Nikawaambia wakuu, maofisa na watu wote kwa ujumla “Kazi ni kubwa, nayo imeenea sehemu kubwa hivi ya kwamba tumetawanyika mno juu ya ukuta kila mmoja yuko mbali na mwenzake.

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:19 katika mazingira