Nehemia 4:4 BHN

4 Ndipo nikamwomba Mungu nikisema, “Ee Mungu wetu, sikia wanavyotukebehi; urudishe dharau yao juu yao wenyewe na uwaache watekwe na kuchukuliwa mateka katika nchi ya kigeni.

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:4 katika mazingira