Nehemia 4:3 BHN

3 Tobia, Mwamoni, aliyekuwa akisimama karibu naye, alitilia mkazo akisema, “Wanajenga nini? Mbweha akipanda juu yake, atabomoa huo ukuta wao wa mawe!”

Kusoma sura kamili Nehemia 4

Mtazamo Nehemia 4:3 katika mazingira