Nehemia 5:10 BHN

10 Zaidi ya hayo, mimi mwenyewe, ndugu zangu na watumishi wangu tumewaazima ndugu zetu fedha na nafaka. Na hatutadai riba yoyote.

Kusoma sura kamili Nehemia 5

Mtazamo Nehemia 5:10 katika mazingira