Nehemia 5:9 BHN

9 Kisha nikawaambia, “Mnalolifanya ni baya. Je, haiwapasi kumcha Mungu wetu ili kuzuia mataifa mengine yaliyo adui zetu yasitusute?

Kusoma sura kamili Nehemia 5

Mtazamo Nehemia 5:9 katika mazingira