Nehemia 5:17 BHN

17 Zaidi ya hayo, kila siku niliwalisha watu 150, wakiwamo Wayahudi na maofisa, mbali na wale watu waliotujia toka mataifa jirani.

Kusoma sura kamili Nehemia 5

Mtazamo Nehemia 5:17 katika mazingira