Nehemia 6:13 BHN

13 Alikuwa amekodishwa kunitishia nami nifanye dhambi. Na kwa njia hii wangepata mwanya wa kuniharibia jina langu ili kushusha hadhi yangu.

Kusoma sura kamili Nehemia 6

Mtazamo Nehemia 6:13 katika mazingira