Nehemia 6:14 BHN

14 Nikamwomba Mungu nikisema, “Ee Mungu, kumbuka yote waliyotenda Tobia na Sanbalati, hata yule Noadia, nabii mwanamke, na manabii wengine waliotaka kunifanya niogope.”

Kusoma sura kamili Nehemia 6

Mtazamo Nehemia 6:14 katika mazingira