Nehemia 7:67 BHN

67 Tena kulikuwa na watumishi wanaume na wanawake 7,337, nao walikuwa waimbaji wanaume na wanawake, wote 245.

Kusoma sura kamili Nehemia 7

Mtazamo Nehemia 7:67 katika mazingira