Nehemia 8:1 BHN

1 Kisha watu wote, kwa nia moja, wakakusanyika mjini Yerusalemu kwenye uwanja ulio karibu na Lango la Maji. Wakamwambia Ezra, mwandishi, kukileta kitabu cha sheria ya Mose ambayo Mwenyezi-Mungu aliwapa watu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Nehemia 8

Mtazamo Nehemia 8:1 katika mazingira