Nehemia 7:73 BHN

73 Basi, makuhani, Walawi, walinzi wa hekalu, waimbaji, baadhi ya watu wengine, watumishi wa hekalu na watu wote wa Israeli, wakaishi katika miji yao.

Kusoma sura kamili Nehemia 7

Mtazamo Nehemia 7:73 katika mazingira