Nehemia 8:16 BHN

16 Basi, watu wakaenda kuleta matawi, wakajijengea vibanda kila mtu kwenye dari na kwenye baraza ya nyumba yake, kwenye baraza za nyumba ya Mungu, kwenye uwanja wa Lango la Maji na uwanja wa Lango la Efraimu.

Kusoma sura kamili Nehemia 8

Mtazamo Nehemia 8:16 katika mazingira