Nehemia 8:15 BHN

15 Hivyo wakatangaza katika miji yao yote na huko Yerusalemu, wakisema, “Nendeni milimani, mkalete matawi ya mizeituni, mizeituni mwitu, mihadasi, mitende na miti mingineyo ili kujengea vibanda, kama ilivyoandikwa.”

Kusoma sura kamili Nehemia 8

Mtazamo Nehemia 8:15 katika mazingira