14 Wakagundua kuwa, imeandikwa katika kitabu cha sheria kuwa Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose, kwamba watu wanapaswa kukaa vibandani wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba.
Kusoma sura kamili Nehemia 8
Mtazamo Nehemia 8:14 katika mazingira