Nehemia 8:13 BHN

13 Kesho yake, wakuu wa koo pamoja na makuhani na Walawi wakakusanyika kwa Ezra mwandishi, ili kujifunza sheria.

Kusoma sura kamili Nehemia 8

Mtazamo Nehemia 8:13 katika mazingira