21 Ukawatunza jangwani kwa miaka arubainina hawakukosa chochote;mavazi yao hayakuchakaawala nyayo zao hazikuvimba.
Kusoma sura kamili Nehemia 9
Mtazamo Nehemia 9:21 katika mazingira