22 “Ukawaruhusu kushinda falme na mataifa,ukawafanyia mengi kila upande.Wakaishinda nchi ya Heshbonialikotawala mfalme Sihoni;na tena wakaishinda nchi ya Bashanialikotawala mfalme Ogu.
Kusoma sura kamili Nehemia 9
Mtazamo Nehemia 9:22 katika mazingira