26 Lakini hawakuwa waaminifu kwako.Wakakuasi,wakaiacha sheria yakona kuwaua manabii waliowaonyaili wakurudie wewe.Wakakufuru sana.
Kusoma sura kamili Nehemia 9
Mtazamo Nehemia 9:26 katika mazingira