37 Kwa sababu ya dhambi zetu,utajiri wa nchi hiiunawaendea wafalme uliowaleta kututawala.Wanatutawala wapendavyohata na mifugo yetuwanaitendea wapendavyo,tumo katika dhiki kuu.”
Kusoma sura kamili Nehemia 9
Mtazamo Nehemia 9:37 katika mazingira