Nehemia 9:38 BHN

38 Kutokana na haya yote yaliyotokea, sisi tunaweka agano imara na wakuu wetu kwa maandishi; Walawi na makuhani wanatia sahihi zao na mhuri wao.

Kusoma sura kamili Nehemia 9

Mtazamo Nehemia 9:38 katika mazingira