14 Aksa alipowasili kwa Othnieli, akamwambia Othnieli amwombe Kalebu baba yake shamba. Aksa alikuwa amepanda punda na aliposhuka chini baba yake alimwuliza, “Ungependa nikupe nini?”
Kusoma sura kamili Waamuzi 1
Mtazamo Waamuzi 1:14 katika mazingira