Waamuzi 1:19 BHN

19 Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na watu wa kabila la Yuda, nao wakaiteka nchi ya milima. Lakini hawakuweza kuwashinda wenyeji wa nchi tambarare kwa sababu magari yao ya vita yalikuwa ya chuma.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:19 katika mazingira