Waamuzi 1:20 BHN

20 Mji wa Hebroni ukakabidhiwa kwa Kalebu kufuatana na maagizo ya Mose. Kalebu akazifukuza kutoka huko koo tatu za Anaki.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:20 katika mazingira