21 Lakini watu wa kabila la Benyamini hawakuwafukuza Wayebusi waliokaa mjini Yerusalemu; ndiyo maana Wayebusi wanakaa pamoja na watu wa kabila la Benyamini mjini Yerusalemu mpaka leo.
Kusoma sura kamili Waamuzi 1
Mtazamo Waamuzi 1:21 katika mazingira