29 Watu wa kabila la Efraimu hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Gezeri, na hawa waliishi huko pamoja na watu wa Efraimu.
Kusoma sura kamili Waamuzi 1
Mtazamo Waamuzi 1:29 katika mazingira