Waamuzi 1:8 BHN

8 Watu wa kabila la Yuda waliushambulia mji wa Yerusalemu na kuuteka. Waliwaua wakazi wake kwa mapanga na kuuteketeza mji kwa moto.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:8 katika mazingira