Waamuzi 10:1 BHN

1 Baada ya kifo cha Abimeleki, Tola mwana wa Pua mwana wa Dodo, wa kabila la Isakari, akatokea kuwakomboa Waisraeli. Tola aliishi Shamiri katika nchi ya milima ya Efraimu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 10

Mtazamo Waamuzi 10:1 katika mazingira