Waamuzi 9:57 BHN

57 Vilevile Mungu aliwafanya watu wa Shekemu waadhibiwe kwa uovu wao walioufanya. Hivyo, laana ya Yothamu mwana wa Yerubaali ikawapata.

Kusoma sura kamili Waamuzi 9

Mtazamo Waamuzi 9:57 katika mazingira