Waamuzi 11:18 BHN

18 Kisha wakasafiri wakipitia jangwani kuzunguka nchi ya Edomu na Moabu mpaka walipofika upande wa mashariki wa Moabu, wakapiga kambi ngambo ya mto Arnoni. Lakini hawakuingia eneo la Moabu. Mto Arnoni ndio uliokuwa mpaka wa Moabu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 11

Mtazamo Waamuzi 11:18 katika mazingira