Waamuzi 11:19 BHN

19 Hapo Waisraeli walituma wajumbe kwa mfalme Sihoni wa Waamori huko Heshboni wakamwomba awaruhusu kupita katika nchi yake waende katika nchi yao.

Kusoma sura kamili Waamuzi 11

Mtazamo Waamuzi 11:19 katika mazingira