Waamuzi 11:35 BHN

35 Yeftha alipomwona, alirarua mavazi yake kwa huzuni na kusema, “O binti yangu! Umenivunja moyo. Wewe umekuwa chanzo kikubwa cha matatizo kwangu. Nimekwisha mwapia Mwenyezi-Mungu nami siwezi kuvunja kiapo changu.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 11

Mtazamo Waamuzi 11:35 katika mazingira