Waamuzi 11:36 BHN

36 Naye akamwambia, “Baba, kama umemwapia Mwenyezi-Mungu kitu, basi nitendee kama ulivyoahidi, kwa vile sasa amekuwezesha kuwalipiza kisasi adui zako Waamoni.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 11

Mtazamo Waamuzi 11:36 katika mazingira