37 Kisha, akamwambia baba yake, “Nakuomba jambo hili moja, nipatie muda wa miezi miwili, niende na rafiki zangu milimani, niomboleze kufariki kwangu kabla ya kuolewa.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 11
Mtazamo Waamuzi 11:37 katika mazingira